Naibu Waziri atembelea Ofisi ya Mambo ya Nje Zanzibar
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Damas Daniel Ndumbaro (Mb.) akizungumza na Watumishi wa Ofisi ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Zanzibar alipofanya ziara kwenye Ofisi hiyo ikiwa…