Mkutano wa 20 wa Wakuu wa Nchi wa EAC wamalizika Arusha
Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wakiwa wamesimama kutoa heshima wakati wimbo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ukiimbwa kabla ya kuanza rasmi Mkutano wa 20 wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki…