UKRAINE KUFUNGUA KITUO CHA KUSHUGHULIKIA VISA NCHINI TANZANIA
Ukraine imeeleza kuwa Oktoba, 2021 inatarajia kufungua kituo chake cha kushughulikia VISA kwa Watanzania wanaosafiri kwenda nchini humo kwa shughuli mbalimbali. Hatua hii inalenga kuwaondolea usumbufu Watanzania wanaosafiriki kwenda…