WAZIRI MULAMULA ASHIRIKI MAADHIMISHO UHURU WA TAIFA LA UTURUKI NA INDIA.
WAZIRI MULAMULA ASHIRIKI MAADHIMISHO UHURU WA TAIFA LA UTURUKI NA INDIA. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula (Mb) ameshiriki hafla ya maadhimisho ya miaka 70 ya Uhuru wa India…
TANZANIA NA RWANDA ZASAINI HATI YA MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO KATIKA SEKTA YA ULINZI
TANZANIA NA RWANDA ZASAINI HATI YA MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO KATIKA SEKTA YA ULINZI Tanzania na Rwanda zimesaini Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano katika Sekta ya Ulinzi (Memorandum of Understanding between United Republic of…
BALOZI SOKOINE AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KWENYE MKUTANO WA 15 WA TUME YA PAMOJA YA KUDUMU
BALOZI SOKOINE AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KWENYE MKUTANO WA 15 WA TUME YA PAMOJA YA KUDUMU KATI YA TANZANIA NA RWANDA Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Joseph Sokoine leo tarehe 27 Oktoba…
TAMKO LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KUPINGA VIKWAZO DHIDI YA JAMHURI YA ZIMBABWE
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI TAMKO LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KUPINGA VIKWAZO DHIDI YA JAMHURI YA ZIMBABWE Dodoma, 25 Oktoba 2021 Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaunga mkono tamko la Jumuiya ya Maendeleo kusini mwa…
MKUTANO WA 15 WA TUME YA PAMOJA YA USHIRIKIANO KATI YA TANZANIA NA RWANDA KUFANYIKA JIJINI DAR ES SA
MKUTANO WA 15 WA TUME YA PAMOJA YA USHIRIKIANO KATI YA TANZANIA NA RWANDA KUFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA. Mkutano wa 15 wa Tume ya Pamoja ya Ushirikiano (JPC) kati ya Tanzania na Rwanda umeanza kufanyika leo tarehe…
RAIS WA BURUNDI ATEMBELEA BANDARI KAVU – KWALA
RAIS WA BURUNDI ATEMBELEA BANDARI KAVU – KWALA Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye amewasili leo mchana katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam akitokea Zanzibar na kupokelewa…
VACANCY ANNOUNCEMENT AT THE CONSULATE OF THE REPUBLIC OF KENYA IN ARUSHA, TANZANIA.
VACANCY ANNOUNCEMENT AT THE CONSULATE OF THE REPUBLIC OF KENYA IN ARUSHA, TANZANIA. The Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation wishes to inform the general public on the availability of employment opportunity at The…