Skip to main content

Tanzania na Malawi Zasaini Mashirikiano

Kikao cha Tume ya Kudumu ya Pamoja ya Ushirikiano (JPCC) kati ya Tanzania na Malawi kimeweka mazingira mazuri ya kushughulikia mgogoro wa mpaka katika Ziwa Nyasa ambapo juhudi za kutafuta suluhu zilisimama kutokana na mabadiliko ya…

India yaadhimisha miaka 68 ya Uhuru

Maadhimisho hayo yaliyoenda sambamba na ufunguzi wa Jengo la Ubalozi mpya wa India yalifanyika kwenye Jengo hilo lililopo Mtaa wa Shaaban Robert Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Januari,  TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI India yaadhimisha…