MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI MKUTANO WA SABA WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI WA UMOJA WA AFRIKA NA UMOJA WA ULAYA JIJINI LUANDA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ameshiriki katika Mkutano wa Saba wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika na Umoja wa Ulaya uliofunguliwa rasmi Novemba 24, 2025 jijini Luanda,…