Naibu Katibu Mkuu awatembelea Watanzania wanaoshikiliwa nchini Malawi
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Ramadhan Mwinyi amewasihi Watanzaniawananewanaoshikiliwa katika Gereza Kuu la Mzuzu nchini Malawi kwa tuhuma za kuingia kinyume cha sheria katika…