MABALOZI WANAWAKE WAAHIDI KUIUNGA MKONO TAASISI YA ZMBF
Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora (ZMBF), Mhe. Mama Mariam Mwinyi amewahamasisha Mabalozi wanawake wa Tanzania kuiunga mkono Taasisi hiyo ili kuiwezesha kufikia malengo yake ya kuwasaidia…