Mhe. Waziri ,Balozi Liberata Mulamula afanya mazungumzo na Mjumbe Maaluum wa Shirikisho la Urusi
Shirikisho la Urusi limesema linaunga mkono jitihada zinazofanywa na Umoja wa Afrika katika kutatua changamoto zinazolikabili bara hilo kwa kuwa matatizo ya Afrika yanahitaji kutatuliwa na Waafrika wenyewe bila kuingiliwa na…
PONGEZI
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushrikiano wa Afrika ya Mashariki ,Tunakupongeza Mhe. Balozi Joseph Edward Sokoine kwa kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara