Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinwumi Adesina amewasili jijini Dar Es Salaam
Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) anayemaliza muda wake, Dkt. Akinwumi Adesina amewasili jijini Dar Es Salaam kwa ziara ya kikazi ya siku 4 kuanzia tarehe 12 hadi 15 Juni 2025. Alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa…