TANZANIA YASISITIZA UWAJIBIKAJI KWA TAASISI ZA UMOJA WA AFRIKA
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa wito kwa taasisi za Umoja wa Afrika kuongeza kiwango cha utekelezaji wa shughuli walizojipangia kwa mwaka ili kufikia malengo ya pamoja na kuleta ustawi kwa wananchi barani Afrika.Wito…