NAIBU KATIBU MKUU MAMBO YA NJE AFUNGUA MKUTANO KUJADILI ITIFAKI YA UMOJA WA AFRIKA KUHUSU UHURU WA WATU KUSAFIRI BILA VIKWAZO
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikano wa Afrika Mashariki, Balozi Said Shaib Mussa ametoa wito kwa Nchi Wanachama wa Umoja wa Afrika kuridhia Itifaki ya Uhuru wa Watu Kusafiri bila Vikwazo ili kurahisisha ufanyaji…