TANZANIA NA CUBA KUFUNGUA MAENEO MAPYA YA USHIRIKIANO
Hayo yamesemwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Liberata Mulamula na Waziri wa Mambo ya Nje wa Cuba, Mhe. Bruno Rodriguez Parrilla walipokutana kwa mazungumzo tarehe 29 Juni 2022 katika ofisi…