BALOZI SHAIBU AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA MWAKILISHI WA HESHIMA WA TANZANIA NCHINI SINGAPORE
Mhe. Balozi Said Shaib Mussa, Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki amekutana na kufanya mazungumzo na Bw. Teo Siong Seng, Mwakilishi wa Heshima wa Tanzania nchini Singapore jijini Dar es Salaam…