Wizara kuongeza wigo wa matumizi ya kiswahili Afrika Mashariki
Wizara kuongeza wigo wa matumizi ya kiswahili Afrika Mashariki Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Susan Kolimba leo akiongea na Wanachama wa Chama cha Kiswahili Afrika Mashariki (CHAKAMA)…