Waziri Mahiga awa Mgeni rasmi hafla ya maadhimisho ya 69 ya uhuru wa Israeli, Dodoma
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga jana alikuwa mgeni rasmi kwenye hafla ya maadhimisho ya 69 ya uhuru wa Taifa la Israeli yaliyo fanyika mjini Dodoma katika Hoteli ya Morena.…