INDIA, JAPAN NA OMAN WAANDIKIA BARUA YA KISERIKALI KWA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI   WAZIRI MKUU WA INDIA NA JAPAN PAMOJA NA NAIBU WAZIRI MKUU WA OMAN WAANDIKIA BARUA YA KISERIKALI KWA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN KWA SALAMU ZA RAMBIRAMBI NA PONGEZI  Mwanza, 24 Machi 2021…
	                                         
                      
	                                           
	                                           
	                                          
 
                   
                   
                   
                   
                   
                                                          
                                                          
                                                         