Naibu Waziri wa Mambo ya Nje akutana na Balozi wa Namibia nchini.
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Damas Ndumbaro (Mb.) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Namibia Mhe. Balozi Theresia Samaria. Mazungumzo hayo ambayo yalijikita kwenye…