HABARI KATIKA PICHA MABALOZI WAKISAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO KWA RAIS MSTAAFU MZEE MKAPA
Mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa nchini, wameendelea kujitokeza kusaini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa Rais Mstaafu wa Tanzania Benjamin Mkapa na kumuelezea kuwa ni kiongozi mahiri na msuluhishi nguli wa amani barani…