NAIBU WAZIRI MHE. COSATO CHUMI APOKEA NAKALA ZA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI WATEULE WA IRELAND, JAMAICA, MALI, MEXICO, GUINEA NA ROMANIA
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. David Cosato Chumi (MB.) amepokea nakala za Hati za Utambulisho kutoka kwa Mabalozi Wateule wa Matifa Sita katika tukio lililofanyika kwenye ofisi ndogo zaWizara…