Taarifa kuhusu ziara ya Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola nchini
Taarifa kuhusu ziara ya Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola nchini Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Mheshimiwa Patricia Scotland anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi ya siku tatu nchini kuanzia tarehe 10 hadi 12 Agosti, 2017. Lengo…