BALOZI MULAMULA ATUMIA MKUTANO WA CHOGM KUITANGAZA TANZANIA
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki chini ya uongozi wa Waziri Liberata Mulamula imeendelea kutumia majukwaa ya kimataifa kuitangaza nchi na fursa zake kama sehemu ya utekelezaji wa diplomasia ya uchumi. Katika…
WAKUU WA NCHI ZA JUMUIYA YA MADOLA KUKUTANA RWANDA
Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Madola hatimaye unafanyika jijini Kigali, Rwanda baada ya kuahirishwa mara mbili (2020 na 2021) kwa sababu ya ugonjwa wa Corona. Mkutano huo unaofanyika kuanzia tarehe 20 hadi…
WAZIRI MULAMULA APOKEA NAKALA ZA HATI ZA UTAMBULISHO BALOZI WA JAPAN
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula (Mb) amepokea nakala za Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Japan nchini, Mhe. Misawa Yasushi leo katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar…
WAZIRI MULAMULA ASISITIZA UMOJA NA MSHIKAMANO KWA NCHI ZA AFRIKA NA NORDIC
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Liberata Mulamula amesisitiza umoja na mshikamano kwa nchi za Afrika na Nordic aliposhiriki Mkutano wa 19 wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi za Afrika na Nchi…
WAZIRI MULAMULA ATOA WITO KWA JUMUIYA ZA KIKANDA KUSHIRIKIANA KATIKA KUTEKELEZA MAKUBALIANO YA AfCFT
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula ametoa wito kwa Jumuiya za kiuchumi za Kikanda za Afrika kushirikiana katika utekelezaji wa makubaliano yaliyofikiwa kwenye Eneo Huru la Biashara…
HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA MWAKA WA FEDHA 2022/2023
Mheshimiwa Balozi Liberata Rutageruka MulaMula (Mb), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki leo akiwasilisha Bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023