NEPAD yahimiza Viwanda Barani Afrika
NEPAD yahimiza uanzishwaji wa Viwanda ili kukwamua uchumi wa Bara la Afrika. KIGALI, Rwanda, Afrika inahitaji juhudi za pamoja ili kukuza sekta ya viwanda ambayo itasaidia kwa kiasi kubwa kunyanyua uchumi wa bara la…