TANZANIA, SUDAN KUSINI KUIMARISHA USHIRIKIANO WA KIUCHUMI
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Sudan Kusini zimesisitiza kuimarisha ushirikiano wa uwili na kikanda kupitia Jumuiya ya Afrika Mashariki ili kuhakikisha fursa muhimu za kiuchumi zinanufaisha pande zote mbili.Msisitizo…