BALOZI MULAMULA ATETA NA UJUMBE WA WAFANYABIASHARA SWITZERLAND
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula (Mb) amekutana kwa mazungumzo na Ujumbe wa wafanyabiashara kutoka Nchini Switzerland katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam. Balozi Mulamula…