TPA, BANDARI YA ANTWERP KUONGEZA USHIRIKIANO
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) pamoja na Bandari ya Antwerp ya Ubelgiji zimeahidi kuongeza ushirikiano ili kuongeza ufanisi katika shughuli za bandari pamoja na Chuo cha Bandari nchini.Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa…