News and Events
Rais wa Benki ya AfDB awasili nchini
Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dkt. Akinwumi Adesina, amewasili nchini kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati, utakaofanyika tarehe 27 hadi 28 Januari 2025 katika Kituo cha Kimataifa…
Rais wa Sierra Leone Awasili nchini
Rais wa Jamhuri ya Sierra Leone, Mheshimiwa Julius Maada Bio, amewasili jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Kilele wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati, unaotarajiwa kufanyika katika Kituo cha Mikutano cha …
Madereva Comoro Waangazia Fursa Tanzania
Mkutano baina ya Balozi wa Tanzania nchini Comoro,Saidi Yakubu na Viongozi wa Umoja wa Madereva Nchini humo ambapo viongozi hao wamefika kuangalia fursa za ushirikiano na wenzao wa Tanzania ikiwa ni pamoja na mafunzo hususan kwa vyombo…
DIASPORA KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KUCHANGAMKIA FURSA
Watanzania wanaoishi Jamhuri ya Czech wameahidi kushirikiana na Serikali kuchangamkia fursa zinazopatikana katika nchi hiyo kwa manufaa ya nchi na wananchi.Ahadi hiyo wameitoa Januari 18, 2025 walipofanya kikao na Waziri wa Mambo ya…
Uhusiano baina ya Tanzania-Czech kung’ara
Uhusiano wa kiuchumi baina ya mataifa umeelezwa kuwa ndio uhusiano imara na bora zaidi ukilinganisha na nyanja nyingine za uhusiano duniani kwa sasa.Hayo yamesemwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi…
WAZIRI KOMBO AAGANA NA BALOZI WA ALGERIA NCHINI
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo ameagana na Balozi wa Algeria Mhe. Ahmed Djellal aliyefika katika ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam kuaga kwa kumaliza muda wake…