MABALOZI ‘WAMLILIA’ RAIS MSTAAFU MZEE MKAPA
MABALOZI 'WAMLILIA' RAIS MSTAAFU MZEE MKAPA Baadhi ya mabalozi wanaowakilisha nchi zao hapa nchini, wamejitokeza kusaini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa Rais Mstaafu wa Tanzania Benjamin Mkapa aliyeaga dunia Tarehe 24 Julai,…