TANZANIA YACHAGULIWA KUWA MAKAMU WA RAIS, MKUTANO WA 76 WA BARAZA KUU LA UMOJA WA MATAIFA (UNGA 76
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI TANZANIA YACHAGULIWA KUWA MAKAMU WA RAIS, MKUTANO WA 76 WA BARAZA KUU LA UMOJA WA MATAIFA (UNGA 76) Dodoma, 08 Juni 2021 Tanzania imechaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa Mkutano wa 76 wa Baraza kuu la Umoja…