Wizara yaratibu mradi wa eneo la Viwanda la Bagamoyo
Makatibu Wakuu na Wakuu wa Taasisi na Wakala mbalimbali za Serikali zinazoshiriki katika kutekeleza mradi wa eneo la Viwanda la Bagamoyo wamekutana leo katika ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere kwa lengo la kujadili mikakati mbalimbali…