RAIS WA UJERUMANI FRANK-WALTER STEINMEIER ATAMBELEA KIWANDA CHA TWIGA CEMENT CHA JIJINI DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani Mheshimiwa Frank-Walter Steinmeier ametembelea kiwanda cha kuzalisha saruji cha Twiga (Twiga Cement) kilichopo Tegeta jijini Dar es Salaam. Rais Frank-Walter Steinmeier amepata fursa…
TANZANIA – UJERUMANI KUJIKITA ZAIDI KATIKA USHIRIKIANO WA KIUCHUMI
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani zimeeleza dhamira yao ya kujikita zaidi katika kuendeleza na kukuza ushirikiano wa kijamii na kiuchumi kwa maendeleo ya pande zote mbili.Hayo yamebainishwa…
RAIS WA UJERUMANI MHESHIMIWA FRANK-WALTER STAINMEIER AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA KIKAZI
Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani, Mheshimiwa Frank-Walter Steinmeier amewasili nchini leo tarehe 30 Oktoba 2023 kwa ziara ya kikazi ya siku tatu (3) kuanzia tarehe 30 Oktoba hadi 1 Novemba 2023, na kupokelewa na Waziri wa…
RAIS WA JAMHURI YA SHIRIKISHO LA UJERUMANI MHESHIMIWA FRANK-WALTER STAINMEIER AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA KIKAZI
Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani, Mheshimiwa Frank-Walter Steinmeier amewasili nchini leo tarehe 30 Oktoba 2023 kwa ziara ya kikazi ya siku tatu (3) kuanzia tarehe 30 Oktoba hadi 1 Novemba 2023, na kupokelewa na Waziri wa…
Balozi. Dkt. Shelukindo Katibu Mkuu Nje ameongoza mazoezi kwa watumishi wa Wizara
Balozi. Dkt. Shelukindo Katibu Mkuu Nje ameongoza mazoezi kwa watumishi wa Wizara
WAZIRI MAKAMBA AKABIDHIWA RASMI OFISI
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba (Mb.) amekabidhiwa ofisi rasmi na aliyekuwa Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb.) katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam. Akizungumza…
AFRIKA INA ARDHI KUBWA YA KULISHA DUNIA, RAIS SAMIA
Rais wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amezihimiza nchi za Afrika kushirikiana ili kukabiliana na aibu ya baa la njaa, kwakuwa bara hilo lina asilimia 65 ya ardhi inayofaa kwa kilimo duniani, asilimia 60 ya utajiri wa rasilimali…