Waziri Mkuu wa Ubelgiji Mjini Dodoma
Mhe. Dkt. Augustine Mahiga akiwa na mgeni wake Mhe. Didier Reynders, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Ubelgiji mara baada ya kuwasili Mjini Dodoma kwa mazungumzo na viongozi mbalimbali wa Serikali leo tarehe 6 Juni…