Waziri Kombo ashiriki hafla ya ufunguzi wa Kituo cha Afya Kizimkazi Wilaya ya Kusini Unguja
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema, dhamira njema ya Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan ya kuipa kipaumbele Sekta ya Afya nchini ni kuhakikisha wananchi wanapata huduma za uhakika…