Taarifa kuhusu ziara ya Kitaifa ya Mhe. Abdel Fattah Al Sisi, Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri nc
Taarifa kuhusu ziara ya Kitaifa ya Mhe. Abdel Fattah Al Sisi, Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri nchini Kufuatia mwaliko wa Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Abdel…
Taarifa kuhusu ziara ya Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola nchini
Taarifa kuhusu ziara ya Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola nchini Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Mheshimiwa Patricia Scotland anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi ya siku tatu nchini kuanzia tarehe 10 hadi 12 Agosti, 2017. Lengo…
Hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Bomba la Mafuta
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ameitaja tarehe ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa bomba la kusafirisha mafuta ghafi kutoka Hoima nchini Uganda hadi bandari ya Tanga nchini Tanzania…
Tanzania calls for immediate solution on Diplomatic crisis in Gulf Countries
PRESS STATEMENT Tanzania calls for immediate solution on Diplomatic crisis in Gulf Countries The united Republic of Tanzania is supporting the initiatives taken by the Amir of Kuwait HH Sheikh Sabah Al-Jaber Al-Sabah’s mediation…