Watumishi wa umma Zanzibar wapigwa msasa kutekeleza Mipango ya Serikali
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Watumishi wa umma Zanzibar wapigwa msasa kutekeleza Mipango ya Serikali Taasisi za Umma zimeshauriwa kujikita zaidi katika utekelezaji wa mipango iliyojiwekea badala ya kutumia muda mwingi kupanga mipango…