FURSA ZA UFADHILI WA MASOMO KWA WATANZANIA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI FURSA ZA UFADHILI WA MASOMO KWA WATANZANIA Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imepokea fursa za ufadhili wa masomo ya muda mfupi na muda mrefu katika kada mbalimbali kutoka Serikali…