WAZIRI RAHMA NA NAIBU WAZIRI CHUMI WATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI NAMIBIA TAREHE 20 MACHI, 2025
Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya makaazi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mhe. Rahma Kassim Ali na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Cosato Chumi (Mb.), wametembelea Ubalozi wa Tanzania nchini…