MAKAMU WA RAIS WA CUBA AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA KIKAZI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Cuba, Mhe. Salvador Valdés Mesa amewasili nchini kwa ziara ya kikazi ya siku tatu kuanzia tarehe 23 - 25 Januari, 2024. Mara baada ya kuwasili nchini kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius…