TANZANIA YACHAGULIWA MJUMBE WA BARAZA LA ITU
Tanzania imefanikiwa kushinda kwa kishindo katika uchaguzi wa wajumbe wa Baraza la Shirika la Mawasiliano Duniani (ITU) katika uchaguzi uliofanyika wakati wa mkutano mkuu wa ITU jijini Bucharest, Romania leo, tarehe 3 Oktoba 2022.…