BALOZI MULAMULA AKUTANA NA WAZIRI WA MAENDELEO WA FINLAND
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula (Mb) amekutana kwa mazungumzo na Waziri wa Maendeleo Ushirikiano na Biashara ya Nje Mhe. Ville Skinnari jijini New York na kuahidi kuendeleza…