Waziri Mahiga kuzuru Israel
TAARIFA KWA VYOMBO HABARI Waziri Mahiga kuzuru Israel Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga (Mb.) atafanya ziara ya kikazi nchini Israel kuanzia tarehe 07 hadi 10 Mei 2018. Ziara…