TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Tanzania yatafuta Soko la Utalii Uholanzi Taasisi za Serikali na kampuni binafsi mbalimbali za utalii zipo nchini Uholanzi kushiriki maonesho ya utalii ya kimataifa kwa lengo la kutafuta fursa mpya za soko la utalii nchini humo. Maonesho…