Dkt. Ndumbaro Apokea Nakala za Hati za Utambulisho
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amepokea Nakala za Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Brazil, Mhe. Antonia Augusto Cesar leo jijini Dar Es Salaam. Baada ya kupokea…