UJUMBE WA UBELGIJI WAKAMILISHA ZIARA YAO KIGOMA KWA KUTEMBELEA KAMBI YA WAKIMBIZI NYARUGUSU.
Katika kuhitimisha ziara yake mkoani Kigoma, Mhe. Dr. Heidy Rombouts, Naibu Waziri wa ushirikiano wa maendeleo na msaada ya kibinadamu wa Ubelgiji, alifanya ziara ya kihistoria katika Kambi ya Wakimbizi ya Nyarugusu. Ziara hii ililenga…