VIKAO KUANDAA MKUTANO WA 46 WA BARAZA LA MAWAZIRI LA EAC VYAANZA JIJINI ARUSHA
Mkutano wa 46 wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa Ngazi ya Wataalam umeanza jijini Arusha ikiwa ni maandalizi ya Mkutano huo utakaofanyika tarehe 28 Novemba 2024. Pamoja na mambo mengine, mkutano wa wataalam…