NAIBU WAZIRI LONDO ATOA RAI KWA HALMASHAURI KUCHECHEMUA FURSA ZA BIASHARA MIPAKANI
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki, Mhe. Dennis Londo (Mb.) ameeleza kuwa Serikali imejipanga kuzisimamia na kuziwezesha Halmashauri hususan za mipakani kuwa…
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aongoza Mkutano wa SADC - ORGAN
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC-Organ) Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Utatu wa Wakuu wa Nchi…
WAZIRI KOMBO AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA MKUTANO WA DHARURA WA MAWAZIRI WA SADC ORGAN
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Mwenyekiti wa Kamati ya Mawaziri wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC- Organ), Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameongoza…
DKT. SAMWEL SHELUKINDO AONGOZA MKUTANO WA DHARURA WA MAKATIBU WAKUU WA SADC ORGAN MJINI UNGUJA, ZANZIBAR
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Makatibu Wauu wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Balozi Dkt. Samwel Shelukindo…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango awasili Angola
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Catumbela nchini Angola leo tarehe 04 Desemba 2024. Makamu wa Rais anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano…
NAIBU WAZIRI LONDO MSIBANI KWA NDUGULILE
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki, Mhe. Dennis Londo (Mb.) tarehe 01 Novemba, 2024 ametoa pole kwa familia ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani…
Rais wa Kenya, Mhe. William Ruto amewasili nchini leo tarehe 29 Novemba 2024 kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 24 wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki
Rais wa Kenya, Mhe. William Ruto amewasili nchini leo tarehe 29 Novemba 2024 kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 24 wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki unaofanyika jijini Arusha tarehe 29 na 30 Novemba 2024.Mara baada…