NAIBU WAZIRI -NJE ASHIRIKI KONGAMANO LA BIASHARA NA UWEKEZAJI LA ZANZIBAR NA UBELGIJI
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Cosato Chumi (Mb.) ameshiriki kwenye Kongamano la Biashara na Uwekezaji la Zanzibar na Ubelgiji lililofanyika tarehe 28 Novemba, 2024, Zanzibar na kufunguliwa…