News and Events
WAZIRI MULAMULA AZINDUA BODI YA WAKURUGENZI YA AICC
WAZIRI MULAMULA AZINDUA BODI YA WAKURUGENZI YA AICC Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula (Mb) leo tarehe 7 Machi 2022 amezindua Bodi ya Wakurugenzi ya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa…
TANZANIA IRELAND KUENDELEZA USHIRIKIANO
Tanzania na Ireland zimeahidi kuendeleza uhusiano na ushirikiano uliopo baina ya nchi hizo kwa manuufaa ya pande zote mbili Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula (Mb) ametoa ahadi…
SADC YAZINDUA KITUO CHA UGAIDI DAR ES SALAAM
Nchi wanachama za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) zimeishukuru Tanzania kwa kujitolea kuwa Mwenyeji wa Kituo cha Kikanda cha Kupambana na Ugaidi ambacho kimezinduliwa rasmi tarehe 28 Februari 2022 jijini Dar Es Salaam.…
INVITATION FOR TENDERS
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA MINISTRY OF FOREIGN AFFAIRS AND EAST AFRICAN COOPERATION Tender No. ME- 013/2021- 2022/HQ/W/01 For PROPOSED CONSTRUCTION OF CHANCERY AND INVESTMENT BUILDING FOR THE TANZANIA EMBASSY IN KINSHASA,…