Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Mhe. Dkt. Asha-Rose Migiro akisalimiana na Malkia Elizabeth II wa Uingereza mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya nchi hiyo ya Buckingham kwa ajili ya kuwasilisha Hati za Utambulisho. Kulia ni…
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Iran Nchini aliyemaliza Muda wake Mhe.Mehdi Aghajafari. Balozi Mhe. Mehdi Aghajafari wiki ijayo anatarajia kuondoka Nchini kurejea…
Balozi wa Uswisi hapa nchini wakisaini Mkataba wa Makubaliano kati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Uswisi kuhusu Ushirikiano wa Kisheria kwenye masuala ya Jinai. Mkataba huu utasaidia kuzijengea uwezo mamlaka zinazohusika na…
Naibu Waziri Mhe. Dkt. Susan Kolimba akizungumza na Watumishi wa Wizara waliopo Ofisi ya Wizara ya Zanzibar. Wengine ni baadhi ya Watumishi wakimsikiliza akiwemo Mkurugenzi wa Idara hiyo, Balozi Silima Haji (wa kwanza kulia)
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Baraza la Mawaziri wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), Mhe Augustine Mahiga…