News and Events
BREAKING NEWS
Dkt. Faustine Ndugulile, amechaguliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Kanda ya Afrika katika uchaguzi uliofanyika leo Jumanne, tarehe 27 Agosti 2024 mjini Brazzaville, Jamhuri ya Congo. Dkt. Ndugulile amewashinda…
UJUMBE WA TANZANIA WASHIRIKI MAZOEZI YA ‘Walk the Talk’
Brazzaville, Congo 25 Agosti 2024Waziri wa Afya, Mhe. Jenista Mhagama, pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo, wameungana na mgombea wa Tanzania kwa nafasi ya Mkurugenzi…
NAIBU WAZIRI CHUMI AKUTANA NA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA JAPAN
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Cosato Chumi (Mb) amekutana na kuzungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Japan Mhe. Kyoto Tsuji ofisini kwake jijini Tokyo.Viongozi hao wamekubaliana kuendelea…
BALOZI KOMBO AKIPONGEZA KITUO CHA DKT SALIM AHMED SALIM KWA KUTOA MAFUNZO YA STADI ZA UONGOZI NA MAJADILIANO
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekipongeza Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha Dkt. Salim Ahmed Salim (CFR) kwa kutoa mafunzo yenye lengo la kuwanoa vijana katika…
Hon. Mahmoud Kombo held a bilateral meeting with the U.S. Ambassador to Tanzania
On 20th August 2024, Minister of Foreign Affairs and East African cooperation Hon. Mahmoud Kombo held a bilateral meeting with the U.S. Ambassador to Tanzania, H.E. Dr. Michael Battle. Hon. Kombo conveyed & reaffirmed the Tanzanian…
WAZIRI KOMBO APOKEA MWALIKO WA RAIS SAMIA KUSHIRIKI JUKWAA LA FOCAC
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amepokea mwaliko rasmi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kushiriki Mkutano wa Kileke wa Wakuu wa Nchi…
NAIBU WAZIRI LONDO AKUTANA NA NAIBU WAZIRI KUTOKA UJERUMANI
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki Mhe. Dennis Londo (Mb.), amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Kazi na Masuala ya Kijamii wa Ujerumani, Mhe.…